Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada za Umahiri moja wa wahitimu wa chuo Kikuu Mzumbe katika Mahafali 20 yaliyofanyika kampasi Kuu Morogoro.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo kikuu Mzumbe Taaluma ambaye pia alikuwa Mgeni rasmi katika Bonanza la Michezo lilifanyika hivi karibuni Prof.William Mwegoha (mwenye kofia) akiongoza Mbio za marathoni

Dkt. Harold Utouh(wa kwanza kulia) ambaye ni amidi wa kitivo cha Sayansi ya Jamii Chuo Kikuu Mzumbe akifuatilia mjadala wakati wa kongamano la kumbukumbu ya Mwal.Nyerere lililofanyika Novemba 10,2021 kampasi Kuu Morogoro.

Baadhi ya washiriki ikiwemo meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na wahadhiri mbalimbali wakati wa Kongamano la kumbukumbu ya Mwal.Nyerere lililofanyiak novemba 10,2021 hapa Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.Mada kuu ilikuwa ni Mtizamo wa Mwalimu kuhusu Uchumi mzunguko(Circular economy).

CONTACT

The Dean,
Faculty of Social Science,
P.O.Box 1,
Mzumbe, Morogoro.
Telephone : +255742762012,
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.,
Website: https://fss.mzumbe.ac.tz