Baadhi ya Wasichana wa Shule ya Sekondari Mongola wakiwa katika picha na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Mzumbe kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma Prof.William Mwegoha akizindua zoezi la upandaji miti lililofanyika katika maadhimisho ya Wanawake.Jumla ya miti 100 ya kivuli na Matunda ilipandwa.

Dkt. Harold Utouh(wa kwanza kulia) ambaye ni amidi wa kitivo cha Sayansi ya Jamii Chuo Kikuu Mzumbe akifuatilia mjadala wakati wa kongamano la kumbukumbu ya Mwal.Nyerere lililofanyika Novemba 10,2021 kampasi Kuu Morogoro.

Baadhi ya washiriki ikiwemo meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na wahadhiri mbalimbali wakati wa Kongamano la kumbukumbu ya Mwal.Nyerere lililofanyiak novemba 10,2021 hapa Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.Mada kuu ilikuwa ni Mtizamo wa Mwalimu kuhusu Uchumi mzunguko(Circular economy).

CONTACT

The Dean,
Faculty of Social Science,
P.O.Box 1,
Mzumbe, Morogoro.
Telephone : +255742762012,
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.,
Website: https://fss.mzumbe.ac.tz